• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

UFAULU WA ASILIMIA 100 WAWAPELEKA WALIMU WA KIDATO CHA TANO NA SITA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO.

Imewekwa: August 11th, 2025

UFAULU WA ASILIMIA 100 WAWAPELEKA WALIMU WA KIDATO CHA TANO NA SITA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO.

Agosti 8, 2025 Walimu wa kidato cha tano na sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe walipata nafasi ya kutembelea eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ikiwa ni motisha baada ya matokeo mazuri ya kidato cha sita 2025 ambapo kwa shule zote 5 za Wilaya ya Karagwe zilifaulisha kwa asilimia 100.

Matokeo yalikua kama ifuatavyo Daraja la kwanza Wanafunzi 272, Daraja la pili 130 na Daraja tatu 10 Hakuna Daraja la nne wala sifuri kwenye shule zote tano (Nyabionza, Bugene, Kituntu,Karagwe na Nyaishozi).

Akizungumza wakati wa mahojiano na kitengo cha mawasiliano Serikalini Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Mhe: Julius Kalanga Laizer amesema kuwa Serikali inatambua juhudi za walimu katika ufaulu wa wanafunzi na Wilaya itaendelea kuwatia moyo na kuwaunga mkono kwa kuwapa motisha mbalimbali ili kuongeza ufaulu zaidi kwenye madarasa ya mitihani.

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi; Happiness J. Msanga amesema kuwa Motisha ni moja ya kanuni ya Utumishi wa umma Kwa kutambua mchango wa walimu katika ufaulu wa wanafunzi Halmashauri iliandaa ziara ya walimu kwenye hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ili wakajifunze mambo mbalimbali ya kihistoria pamoja na kuwaongezea ari ya kufundisha ili kuongeza ufaulu kwa Wanafunzi.

"Ni ukweli usiopingika hakuna Mwanafunzi anayeweza kufaulu bila jitihada za walimu hata mimi nisingekuwa hapa nilipo bila ya walimu, tunatambua na kuwathamini walimu. Ziara hii ni motisha baada ya matokeo mazuri na ikawafanye wafanye vizuri zaidi matokeo ya mwakani kwasababu huu ni mwanzo tu, kuna mazuri zaidi" Alisisitiza Bi. Happiness

Aidha, kwa nyakati tofauti tofauti za mahojiano baina ya kitengo cha mawasiliano serikalini Walimu wamefurahishwa na ziara hiyo na wameahidi kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu, ufanisi na kwa juhudi zaidi ili wafikie ufaulu wa asilimia zaidi ya 100 kwa kuongeza daraja la kwanza, la pili na kuondoa daraja la tatu, nne na sifuri. Pia, wametoa shukrani zao za dhati kwa Serikali kwa uwekezaji kwenye sekta ya elimu pamoja Mkurugenzi Mtendaji kwa kutambua juhudi zao.

Vilevile, Bi. Happiness amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Serikali ya awamu ya sita kwa usimamizi mzuri wa sekta ya elimu pamoja uwekezaji mkubwa uliofanyika ikiwemo kuongeza shule za kidato cha tano na sita  Wilaya ya Karagwe ambapo awali kulikuwa na shule 5 tu na sasa zipo 8 zinazotarajia kufanya mitihani mwakani 2026.

Hatahivyo, Motisha kwa Watumishi ni muhimu kwasababu inachochea ubunifu, kupunguza migogoro pamoja na kuongeza uwajibikaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UFAULU WA ASILIMIA 100 WAWAPELEKA WALIMU WA KIDATO CHA TANO NA SITA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO.

    August 11, 2025
  • DC LAIZER AMALIZA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU KWA MIAKA 10

    July 23, 2025
  • WATHIBITI UBORA WA SHULE, MAAFISA OFISI YA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI KARAGWE DC WANOLEWA MFUMO WA SQAS.

    July 10, 2025
  • MASHIRIKA YASIYOKUWA YAKISERIKALI KARAGWE DC YAASWA KUDUMISHA USHIRIKIANO ENDELEVU NA SERIKALI ILI KULETA MATOKEO CHANYA KWA WANANCHI.

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ZIARA YA WALIMU KATIKA HIFADHI YA TAIFA NGORONGORO
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.