• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Neema Inakuja kwa Wakulima wa Kahawa Wilayani Karagwe.

Imewekwa: February 16th, 2018

Neema Inakuja kwa Wakulima wa Kahawa Wilayani Karagwe.

Na Innocent E. Mwalo, KARAGWE.

Waziri wa Kilimo na Ushirika, Mh. Dkt. Charles Tizeba leo tarehe 16/02/2018 amefika wilayani hapa na kutoa maagizo na maelekezo kadhaa kwa uongozi na menejimenti ya Wilaya ya Karagwe kwa ajili ya  kutengeneza mikakati yenye lengo la kumuinua mkulima wa zao la kahawa wilayani hapa.

Mapema katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya Mh. Nyangele Makunenge alisoma  taarifa kwa Mh. Waziri  Dkt. Tizeba iliyoelezea hali ya chakula wilayani hapa ambapo taarifa hiyo ilianisha kwamba katika wilaya ya Karagwe, kwa kipindi hiki cha mwezi Februari 2018 mazao mengi yameanza kuvunwa na hiyo inaashiria hali ya chakula kuwa ni nzuri,maana chakula kipo cha kutosha na chakula cha ziada kinauzwa katika wilaya na mikoa ya jirani,na kadhalika bei za vyakula mbalimbali vijijini na sokoni ziko chini.

Aidha taarifa hiyo ya Kaimu Katibu Tawala Wilaya iliweza kubainisha changamoto ya upatikanaji wa pembejeo kwa wakulima.

“Kwa Wilaya yetu ya Karagwe mawakala wanaojihusisha na ununuzi na uuzaji wa pembejeo wameshindwa kunufaika na mfumo huu wa  (Bulk) na hii imesababishwa na ukosefu wa mitaji na matumizi madogo ya mbolea”, iliainisha taarifa hiyo ya Kaimu Katibu Tawala.

Kwa upande wake Waziri wa Kilimo, Mh. Dkt. Tizeba alitumia wasaa huu kutoa maelekezo yake kwa wananchi na viongozi ya kuorodhesha mazao yote ya biashara na sio kuorodhesha tu zao la kahawa kama ambavyo imekuwa inafanyika kwa mujibu wa taarifa za viongozi.

Agizo jingine lilikuwa ni suala la kuiondoa miche ya kahawa inayodaiwa kuchokaa na badala yake wananchi wamehamasishwa miti hiyo ikatwe na kupandwa miche mipya ambapo uongozi wa Wilaya kupitia kwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji waliweza kumwahidi Mh. Waziri kwamba mpaka sasa Halmasahuri ya Wilaya Karagwe imeweza kuwekeza katika vitalu saba ambavyo vinatarajiwa kuzalisha miche ya kahawa takribani 1,000,000 kwa ajili ya wakulima wa kahawa.

Aidha Mh. Dkt. Tizeba aliuagiza uongozi wa Wilaya kushirikiana na taasisi ijulikanayo kama OLAM katika uratibu wa shughuli za uzalishaji wa zao la kahawa.

Kupitia kikao hicho Mh. Waziri aliweza kumwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kuhakikisha kwamba anashirikiana kikamilifu na Mrajisi wa Kahawa wa mkoa ili kama kuna upungufu wa maafisa ushirika taasisi hiyo iweze kutoa wataalam kwa ajili ya kazi hiyo.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA 2022 December 01, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SEKONDARI 2023 December 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 09, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZAWADI

    September 26, 2022
  • WAJERUMANI WASAINI KITABU KWA DED

    September 26, 2022
  • KARAGWE YAPOKEA WAJERUMANI

    September 25, 2022
  • KAMATI YA FEDHA MAFUNZONI

    September 16, 2022
  • Angalia zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LAWASIMAMISHA WATUMISHI
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 0754653409

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.