• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA WILAYA YAFUNGULIWA RASMI KARAGWE DC

Imewekwa: June 4th, 2025

MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA WILAYA YAFUNGULIWA  RASMI KARAGWE DC

Leo tarehe 03/06/2025 Mashindano ya Umoja wa Michezo Sekondari Tanzania (UMISETA) kwa mwaka 2025 yamefunguliwa rasmi  katika  Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kwenye kiwanja cha michezo cha Bashungwa.

Akifungua Mashindano hayo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Henrietta William  ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii amewataka Wanafunzi wanaoshiriki katika mashindano hayo, kujituma na kudumisha nidhamu kipindi chote cha maandalizi ili watakaopata nafasi ya kuiwakilisha Wilaya kwenye mashindano hayo ngazi ya Mkoa wakafanye vizuri.

"Nitoe shime kwa Wanafunzi wote mnaoshiriki mashindano haya, mkayachukulie kwa uzito kwa sababu siku hizi michezo ni ajira na inaweza kukupeleka sehemu ambazo hukufikiria kufika, mkatuwakilishe vyema kwenye mashindano ya Mkoa kwa nidhamu na matokeo chanya ", amesema Bi. Henrietta.

Naye, Kaimu Afisa Elimu Sekondari  wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Ndg. John Bosco amesema uwepo wa UMISETA mashuleni si upotezaji wa muda bali ni nafasi nzuri  kwa Wanafunzi kuonyesha vipaji vyao na kukua kitaaluma kwasababu Michezo inaimarisha Afya zao.

Kwa upande wake Afisa Michezo wa Halmashauri hiyo, Ndg. George Sebastian amesema kuwa, anamatumaini makubwa ya kushinda Mashindano hayo kwa ngazi ya Mkoa kwa sababu Wanafunzi wameandaliwa vizuri.Mashindano haya kwa ngazi ya Mkoa yanatarajiwa kufanyika  Wilaya ya Muleba kuanzia tarehe 06/06/2025 katika Viwanja vya Chuo cha Walimu Katoke.

 

Aidha, Michezo itakayoshindanishwa ngazi ya Mkoa na Taifa itahusisha Mpira  wa miguu kwa Wasichana na Wavulana, Mpira wa wavu kwa Wavulana, Mpira wa Netiboli, Mpira wa Mikono kwa Wavulana, Riadha kwa Wavulana na Wasichana, Kwaya, Ngoma na Mpira wa Meza.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAKULIMA BUJURUGA WAADHIMISHA SIKUKUU YA MKULIMA KWA KUFANYA MAFUNZO YA VITENDO YA KILIMO BORA CHA MPUNGA.

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA WILAYA YAFUNGULIWA RASMI KARAGWE DC

    June 04, 2025
  • DED MSANGA ASISITIZA NIDHAMU KWENYE MASHINDANO YA UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

    May 25, 2025
  • TIMU YA MENEJIMENTI KARAGWE DC YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI HUMO.

    May 23, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.