• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
KARAGWE DISTRICT COUNCIL
KARAGWE DISTRICT COUNCIL

United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KARAGWE

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu
        • Sekondari
        • Msingi
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Mazingira na Taka ngumu
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ufugaji na Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayokuja
    • Iliyotekelezwa
    • Inayoendelea
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Taarifa
    • Sheria
    • Mpango mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KARAGWE DC YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.

Imewekwa: June 16th, 2025

KARAGWE DC YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.

Leo tarehe 16/06/2025 Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe imeadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kama yalivyokua makubaliano ya

Mwaka 1991  ambapo Umoja wa Nchi za Afrika waliamua kuenzi kumbukumbu ya mauaji ya Watoto takribani 2,000 yaliyofanywa na Utawala wa Makaburu, nchini Afrika Kusini tarehe 16 Juni, 1976, wakati wa maandamano ya wanafunzi waliokuwa wakipinga mfumo wa Elimu ya kibaguzi iliyokuwa inatolewa na Utawala wa Afrika Kusini.

Akizungumza kwa Niaba ya Mkuu wa Wilaya Bi. Henrietta William ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamiii wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe amesema kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika inaikumbusha jamii kutafakari haki za watoto na kuhakikisha wanawatimizia ili kujenga kizazi chenye maadili na uwajibikaji. Pia ametumia nafasi hiyo kusisitiza umuhimu wa kuwepo kwa Baraza la Watoto mashuleni.

"Niwasihi muendeleze Mabaraza ya watoto kwasababu kupitia mabaraza hayo watoto wanapata nafasi ya kueleza changamoto wanazokutana nazo ikiwemo maswala ya ukatili kwa watoto" Alisisitiza Bi. Henrietta.

Naye, Afisa ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Bi. Wokusima Kaihura amesema kuwa Maadhimisho hayo yawe ni sehemu ya tathimini ya kuona ni namna gani Wazazi wanasimama kwenye nafasi zao hasa kwenye suala la malezi na makuzi.Pia amewasisitiza wazazi kuimarisha ulinzi wa watoto wao ili kuwaepusha kwenye ukatili.

Kwa upande wake, Kaimu Mwenyekiti wa  Kijiji cha Muungano Mhe. Jefta Edward ameushukuru Uongozi wa Halmashauri kwa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwenye kijiji cha  Muungano na amewapongeza Wananchi kwa kujitokeza kwa wingi.

Hatahivyo, Kila mwaka tarehe 16 Juni Tanzania inaungana na Nchi zingine za Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika ikiwa na kauli mbalimbali zenye tija kwa ustawi wa watoto.Kwa mwaka huu Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika inasema "Haki za Mtoto: Tulipotoka, Tulipo na Tuendako.” ikiwa na lengo la kututafakarisha kuhusu upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa na Sera ya Maendeleo ya Mtoto mwaka 2008.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMI 10 October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA DEREVA II NA WAANDISHI WAENDESHA OFISI II September 30, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WASAIDIZI KUMBUKUMBU DARAJA LA II NA MTENDAJI WA KIJIJI WA III October 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 21, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HATI SAFI ISIWE BANGO LA KUTUPUMZISHA TUJITUME ZAIDI KUIDUMISHA - RC MWASSA.

    June 17, 2025
  • KARAGWE DC YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.

    June 16, 2025
  • PPRA YAKAMILISHA MAFUNZO YA SIKU 3 YA MFUMO WA NeST KARAGWE DC.

    June 13, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WA KADA MBALIMBALI KARAGWE DC WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA.

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

SHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 KARAGWE TUMEJIPANGA
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • History
  • Dira na Dhamira
  • Fomu za mbalimbali
  • NEEMA INAKUJA KWA WAKULIMA
  • FEDHA ZILIZOPOKELEWA KWA AJILI YA MFUKO WA JIMBO

Viunganishi vihusishi

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAIFA
  • TAMISEMI
  • FFARS
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    KARAGWE KAGERA TANZANIA

    Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE

    Simu: 028-2227148

    Simu ya mkononi: 028-2227148

    Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani elekezi
    • Huduma

Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.