UTANGULIZI
Kitengo cha ugavi na manunuzi ni moja ya vitengo nyeti ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe. Kitengo hiki kinahusika na kuratibu shughuli zote za manunuzi na uandaaji wa zabuni katika Halmashauri ya Wilaya hii.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI
KARAGWE KAGERA TANZANIA
Anuani ya posta: BOX 20 KARAGWE
Simu: 028-2227148
Simu ya mkononi: 028-2227148
Barua pepe: ded@karagwedc.go.tz ded.karagwedc@kagera.go.tz
Copyright©2017 karagwedc. All rights reserved.